Najua nina watu wangu ambao watakuwa na maswali mengi juu ya kuhusu wale
Top 5 wa Bongo Star Search 2015, sasa basi Ayo TV imemtafuta Jaji Madam
Rita kufafanua zaidi.
‘Sisi tuna mkataba na uongozi wakina Babu Tale yaani Tip Top Connection
wao kuna vitu wanafanya kwasasa maandalizi yao, kwahiyo kuna vitu
vinapikwa kutoka kwa wasanii hao watano unajua watu wanahisi msanii
akitoka Bongo Star Search anajulikana siku hiyo hiyo hapana kuna watu
wanachukua miaka mitano au miaka mikumi ndio wanakuja kujulikana’- Madam
Rita
Comments
Post a Comment