VIDEO: ‘Milion 10 usajili wa namba binafsi sio sawa’ Mbunge Kiteto


Baada ya Serikali kupandisha tozo ya usajili wa namba binafsi za magari kutoka milioni 5 hadi 10 kwa miaka mitatu katika bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017, mbunge wa viti maalum CCM Kiteto Koshuma alisimama bungeni kukosoa hatua hiyo kuwa ni kupunguzia mapato serikali kwakuwa itapunguza watu wa kujisajili.
Naamini lengo la serikali lilikuwa ni zuri, lakini ukiangalia wakati kodi ikiwa ni milion 5 watu walioweza kusajili namba zao walikuwa ni wachache, sasa ukisema iongezwe hadi kufikia milion 10 inawezekana tukawapoteza hata hawa ambao walikuwa wakichangia mapato‘ –Kiteto Koshuma
                                                                     

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016