Msanii Rashid Abdallah Makwiro 'Chid Benz' ajiunga katika lebo ya WCB
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al
maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic
Baby WCB mchana Iliyo chini ya mwanamuziki machachari kabisa Diamond
platnumz.
Taarifa hizi zimepatikana kupitia mtu wa karibu sana wa Babu Tale. Na
pia kituo cha kuaminika cha redio yaani CloudsFM kimetaarifu mchana wa
leo.....
Comments
Post a Comment