Maneno makali ya Shilole kuhusu video mpya ya Nuh Mziwanda,mambo ya boxer yote ndani.



Baada ya video ya Nuh Mziwanda ‘Jike SHupa’ kutoka Ex wake ambaye ni msanii Shilole ameonyesha kukasirishwa na baadhi ya maigizo yaliyoonyeshwa kwenye video hio.
Video hii inaonyesha mwanamke aliyefanana na Shilole akifanya matendo ambaye awali Shishi aliyafanya kwa Nuh Mziwanda kama kupigana na kumpokonya simu.
Haya ni maneno makali ya Shilole kuhusu video hii.
IMG-20160612-WA0005
nuh 1 nuh 2
Hii ndio video yenyewe ya Nuh na Ali Kiba ‘Jike Shupa’.
                                                       
                                                 

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016