MREMBO Naj Kapatikana na Kaongea Kuhusu Ujauzito wa Baraka da Prince
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
June 22 2016 mwigizaji na msanii wa bongofleva Naj ali-trend na habari
kuwa ana ujauzito wa mwimbaji wa bongofleva Baraka Da Prince sasa baada
ya Naj kurudi bongo akitokea London June 21, kapatikana na kuongelea
mbele ya AyoTV na millardayo.com
‘Kusema ukweli mimi naomba msubirie miezi tisa maana hivi vitu sio
vizuri nianze kusema hadharani lakini kama ni mimba watu wataona
itakapofika hiyo miezi tisa‘ Naj
Tazama Video:
WAKATI Mwisho Mwampamba aliposhiriki kwa mara ya kwanza Shindano la Big Brother miaka ile ya mwanzo wa 2000, Wabongo wengi hawakuwahi kufikiri kama ni kitu ambacho kingeweza kuwasaidia vijana wetu, hata pale dau kubwa la mshindi lilipotangazwa. Wengi walitazama zaidi katika maadili, kwa sababu kulikuwa na mambo mengi ambayo kwa utamaduni wetu, hayakustahili kuoneshwa katika televisheni kama yalivyokuwa yakifanyika. Lakini taratibu wakajikuta wanaliona shindano hilo kuwa la kawaida, lenye ‘kuburudisha’ hasa baada ya ushindi wa Richard mwaka ule wa 2007. Leo hii, vijana wawili wa Kitanzania tayari wameweka kibindoni jumla ya dola 400,000 kutoka shindano hilo, kwani Richard alichukua dola laki moja alipotwaa ushindi na Idriss Sultan, aliyeibuka namba moja mwaka jana, kwa pesa ya madafu, ana kama milioni 500 hivi! Sasa Idriss amekuwa kijana maarufu sana katika jamii yetu, akiwa ngazi moja y...
Dalili za Mke anayetoka nje ya ndoa: 1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume) 2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui 3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki 4) Anajinunulia nguo za gharama zikiwemo nguo za ndani bila kumshirikisha mume 5) Anakuwa akitegemea zaidi ushauri kutoka nje kwa watu wengine zaidi ya mumewe 6) Anaacha kuvaa pete ya ndoa bila sababu 7) Anapopigiwa simu akiwa karibu na mumewe anaizima au kwenda kupokelea nje 8) Anakuwa hajali tena mambo ya familia na hujiamulia mambo yake mwenyewe 9) Ni rahisi sana kusema ‘nipe talaka yangu’ inapotokea kutofautiana hata kwa jambo dogo. 10) Dharau na kejeli kwa mume hujionyesha waziwazi Dalili za mume anayetoka nje ya ndoa: 1) Unakuta Condom kwenye mkoba wake au kwenye gari lake wakati umefunga kizazi au unatumia vidonge vya majira. 2) Anapunguza au anaacha kabisa kuwa outing na fa...
Mtindi unaorodheshwa kuwa miongoni mwa vyakula bora kutokana na kuwa na virutubisho vingi vya aina mbalimbali ambavyo vina faida nyingi katika mwili wa binadamu. Vikitajwa kwa uchache virutubisho hivyo, imethibitika kuwa mtindi ni chanzo kizuri cha ‘Calcium’, ‘Phosphorus’, ‘Riboflavin (vitamin B2), ‘Iodine’, ‘vitamin B12’, ‘Pantothenic acid (vitamin B5) ‘Zinc’, ‘Potassium’ na ‘Molybdenum’. Mbali ya virutubisho hivyo, ndani ya mtindi kuna ‘bakteria hai’ ambao ni muhimu kiafya katika mwili. HUREFUSHA MAISHA Utafiti unaonesha kuwa unywaji wa mtindi mara kwa mara, hasa katika kundi la wazee, uwezo wa mwili wa kupambana na magonjwa mbalimbali umeonesha kuongezeka na kufanya mfumo wa kinga ya mwili kuwa imara zaidi. Katika utafiti mmoja, walichaguliwa wazee 162 ambao walipewa utaratibu wa kunywa mtindi na maziwa zaidi ya mara 3 kwa wiki na kufuatiliwa maendeleo yao kwa muda wa miaka mitano. Baadaye utafiti huo ulionesha kuwa idadi ya vifo vya wazee hao ilipungua kwa...
Comments
Post a Comment