Nina Nyumba za Kupangisha UK - Naj Afunguka

Najma wa Baraka de Prince

Enewz ilipata nafasi ya kupiga naye story na kutaka kujua ni ishu gani huko UK anayoifanya.......
Naj alisema kule UK anafanya biashara ya kupangisha watu nyumba yaani yeye anachukua nyumba nyingi na kuwapangishia watu nyumba hizo, ni biashara ambayo Naj anasema inamlipa kinoma noma na kumfanya maisha yake yaende poa.

Hata hivyo Naj ameendelea kuiambia Enews kwamba ana ndoto za kufunga ndoa na mpenzi wake wa sasa Baraka,hivyo wapenzi wao waendelee kuwaombea mema na baraka katika mahusiano yao ili waweze kufika mbali.

Pia Naj amesema yeye kwa sasa hasomi tena mbali ana dili na ishu za movie, uimbaji na biashara mbalimbali akiwembo hizo za kupangishia watu nyumba UK na biashara nyingine hapa hapa nchin

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Final Exam Answers