Billnas kaongelea kufanya collabo na Godzilla,hana beef naye.



Rapa Billnas alikuwa kwenye #FridayNiteLive na @sammisago hivi karibuni na kuongelea beef lake na Godzilla. Billnas anasema hana tatizo na King Zilla na kwamba muda wowote wanaweza fanya colabo
Je Ikitokea collabo na GodZilla utakubali kurekodi >> “Kwa namna yoyote kwanza mimi sina tatizo naye ata akisema tukutane, sisi binadamu so mimi nasamehe kama watu wengine, hivyo ndio vitu tuna bidi kufanya ili tukuze muziki, tuwe kama Marekani akitokea msanii mpya wasanii wengine wanampa makolabo sana ili akuwekama wao, ila bongo akitokea rapa mpya watu wanaponda eti Billnas ana rap kibiashara, Rap Sio Dini bhana“.
Billnas pia alisema wakati anatoka Godzilla alimpa ushauri mzuri kuhusu muziki wake.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016