Billnas asema Tunda na Linah ni washkaji zake tu


Rapa Billnas amefunguka hivi karibuni kwenye #FridayNiteLive na @sammisago kuhusu mahusiano yake na wanawake wawili wakali kwenye dunia ya burudani na kusema wote hao ni marafiki zake tu
Billnas amekuwa akitajwa kuhusishwa kimapenzi na msanii Linah na video model Tunda.
Billnas alisema “Lina ni mshkaji wangu na ananipa ushirikiano kama msanii mwenzake kwa kupost video yangu na Tunda ni mshkaji watu“.
Billnas anapromote video yake mpya ya Chafu Pozi.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016