MR. BLUE AFUNGUKIA TENA MAHUSIANO YAKE NA BARAKAH DA PRINCE +NAJMA


Blue

Wakati Mr. Blue na mkewe Wahida wakisherehekea maisha ndani ya ndoa, amefungukia tena tetesi zilizowahi kuwepo kwamba anatofauti na Barakah Da Prince kwa sababu muimbaji huyo wa ‘Siwezi’ sasa ana uhusiano na Naj aliyewahi kuwa mpenzi wa Kabasyer.

Tetesi hizo zilianza kuvuma baada ya Blue kutoonekana kwenye cover ya wimbo uliowahusisha yeye na Barakah pamoja na Ben Pol ‘Mwambie.’ na tayari Barakah Da Prince ameshampeleka kwao #Rock City Mwanza kumtambulisha kwa wazazi wake rasmi.baraka-na-najjjYote 9, kumi ni kwamba ndani ya mwaka huu Barakah Da Prince ametangaza kuwa kuna ngoma ambayo anafanya na Mr. Blue na ataiachia ndani ya mwaka huu, unaweza kufikiria Mr. Blue ni wa mtu wa aina gani ambaye ameweza kukubali kufanya kazi na msanii huyo bila  kinyongo.

Kwenye Exclussive Inteview na Mr. Blue, msanii huyo amesema Barakah ni mdogo wake, lakini amewezaje kuafanya naye kazi? Yote kuhusu mahusiano yake na Barakah Da Prince amefunguka kwenye Audio hapo chini.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016