MPENZI MPYA WA LINAH SANGA HUYU HAPA




Mahusiano ni moja ya kitu muhimu katika maisha ya mwanadamu lakini katika mahusiano huusisha jinsia mbili tofauti ili yawe mahusiano rasmi kwa mujibu wa mila na desturi za kiafrika, mfano nchini Marekani Mwanamitindo Kim Kardashian alimtongoza msanii wa muziki Kanye West na wawili hao walikubaliana mpaka kufikia kufunga ndoa na kujaaliwa familia watoto wawili.

Kwa tamaduni wa kiafrika sio jambo jema na jepesi kwa mtoto wa kike kueleza hisia za kimapenzi ‘kutongoza’ kwa mwanaume,  kwani kitendo hiki hutafsiriwa kama kukosa heshima na utovu wa nidhamu  kwa baadhi ya makabila au jamii ingawa mtu hakatazwi kuongea anachokiwaza.

LINAHStar wa Bongo Fleva anayekinukisha na single ya Malkia wa Nguvu Linah a.k.a ndege mnana baada ya kutendwa katika mahusiano aliyopitia kupitia mautunduyabongo amefumbua kinywa chake kumuelezea mwanaume anayetaka kuwa naye katika mahusiano mapya, msikilize Linah katika sauti hapo chini akielezea zaidi.

DARASA

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Final Exam Answers