Ukiniuliza movie gani kali ya kutazama leo Cinema Dar es salaam….(+TRAILER)


Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ningependa ukaitazama hii movie mpya iitwayo Warcraft ambayo itaanza kuonesha leo June 10, 2016 kwenye theater mbalimbali za Dar es Salaam.
Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center
                                                  

Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

Hizi Hapa Faida za Kunywa Maziwa Mgando/Mtindi Katika Mwili wa Binadamu