DIAMOND- ‘MILIONI 10 YA PLATE NUMBER MBONA POA TU’



Msanii wa Bongo Flava Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz amesema anaunga mkono kitendo cha serikali kutangaza kwamba kwa watu wanaotumia plate number za majina yao watatozwa milioni 10 kama kodi kutoka 5 kuanzia mwaka wa fedha 2016 & 2017.DIAMOND BMW

Msanii huyo amesema mtu anayetaka kuweka Plate Number ya jina lake maana yake anafedha zilizokithiri na kama anafedha zilizokithiri bora serikali ichukue fedha hizo ikasaidie watu wengine.

‘’Kama serikali itatumia fedha hizo kusaidia watu wa hali ya chini mimi naona sawa tuu’’ amesema Diamond.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016