Mahaba ya Harmozine kwa Wolper: Siku zinavyozidi Kwenda Nazidi Kukuona Mpya


Hit maker wa ‘Bado’ Harmonize anaendelea kuudhirishia umma jinsi anavyompenda baby mama wake Jacqueline Wolper.

Muimbaji huyo amewaziba mdomo mashabiki ambao wanabeza uwamuzi wake wa kutoka kimapenzi na mwanamke aliyemzidi umri.

Harmonize alipost picha ya Wolper instagram na kuandika:
Get well soon mami….🙏 siku zinavyozidi kwenda nazidi kukuona mpya…..!!! hivi kina miaka ngapi hiki kitoto …..??? 13 au 14 mana nami kwa kusahau.
Kauli hiyo imeonyesha kuwatoa povu baadhi ya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii.

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki hao.

Alwatan_de_don
Sikuzote MTU akikosea njia ndo anajifanya haoni eti umri wake miaka mngapi,,,,😁😁 vijimambo hv

Neema3071
Heshima pesa shikamoo makelele age namba tu lkn ukimchek kama anamiaka20 hiv matuzo tu poleen wenye majungu

hendrickanthony2016
Kwan miaka its just a number hats Bibi kizee anaweza akampenda mtoto wa miaka mi5, mapenz hayajal umri its a Mata of loving each other,,, nakupenda bro @harmonize_tz & CcY Ake @wolperstylish

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016