Mkubwa Fella azungumzia tetesi za Uhusiano wa Aslay na Ruby


Perfecto TV wanatuunganisha na stori zote za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines June 23 2016 na moja kati ya stori za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines.
Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii hususani instagram, utakuwa ulikutana na post za mastaa wa Bongofleva, Ruby na Aslay ambazO zilileta tafsiri kama wapo kwenye mahusiano, sasa hapa Mkubwa na Wanae Said Fella ametolea ufanunuzi kupitia Perfecto TV.
                                                          

Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016