Video ya Chura Yawa Gumzo Mtandaoni..Hivi Ndivyo Inavyozungumziwa nje na Ndani ya Tanzania
Video ya Mwanamuziki Snura iliyotoka hivi Karibuni imekuwa gumzo mtandani kwa jinsi wadada wanavyotingisha makalio kwa mtindi wa Chura kama jina la wimbo huo unavyoitwa..Japo video hiyo mpaka sasa haijachezwa na kituo chochote cha Tv Tanzania lakini huko Youtube inaonekana imeshakuwa maarufu kwani watu nje ya nchi na ndani wamekuwa wakiijadili kwa maoni tofauti tofauti Hapa nimekuwekea maoni mbali mbali ya Wadau: Boss Hogg2 Thats it am going to TZ... Hey tanzanians, place gani poa ya kupata madem wana mizigo huko kwenu... Area gani na club gani.. Mtu anijibu Ado Ashu1 Astaghfirullah!! Mna laana wote mliojidhalilisha ktk hii nyimbo. Ama kweli thamani ya mwanamke inapotezwa na watu wachache kama nyie. Niyongabo Idrissa Mnaosema video haina maadili mnatafuta nini youtube? La Shay Glenn2 Wanaosema hii tradition mjiulize kwa nini snura asijiweke hapo,halaf hao wanawake wamevaa mask....obvious its wrong in many ways emanuel kilima10 Oooops lad...