Hivi ndivyo Madee alivyomzawadia gari meneja wake.
Meneja kutoka Kundi la TipTop Conection lenye maskani yake pale Manzese Tip Top Babu Tale usiku wa kuamkia tarehe 1 2014 alikua akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa ambapo katika vitu ambavyo waliohudhuria hawakuvitarajia ni aina ya zawadi iliyotolewa na msanii wa siku nyingi ambae amekua chini ya Bab Tale, Madee.
Star wa huyu wa single mpya ya ‘tema mate tumchape’ aliamua kumzawadia gari aina ya BB NEW MODEL lililoagizwa Japan na kumkabidhi mbele ya waliohudhuria akiwemo mwimbaji Amini, Ditto, Keisha, meneja wa kundi la Tmk Wanaume Family Said Fela na watu wengine wengi.
Mwasiti akilishwa keki.
Keisha akilishwa keki na Bab Tale.
Aaaaaaah! Tale weeeeeee
Ditto akichukua kipisi chake.
Amini weee
Dada wa Diamond, Asma.
Comments
Post a Comment