Mzee Mengi na Jacqueline Maisha ni Motomoto...Wakubwa Wanafaidi Sana
Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani
zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama
"msukule" anakaa tu dukani siku nzima.
Bata mara moja moja kama hivi si haba,unakula bata na watoto na wife hapa na pale..Mambo ya kuja Dsm kwa kupanda fuso peleka huko...
Bata mara moja moja kama hivi si haba,unakula bata na watoto na wife hapa na pale..Mambo ya kuja Dsm kwa kupanda fuso peleka huko...
Comments
Post a Comment