SIMANZI: Msanii Bongo Muvi Afariki Dunia Akijifungua Hospitalini
Ni simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza
ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika
ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo kupoteza maisha
muda mfupi baada ya kujifungua kwenye Hospitali ya St. Benard, Kariakoo
jijini Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment