Ni
siku kadhaa zimepita toka taarifa itoke kwenye mitandao kadhaa ya
nchini China kuhusu binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 akamatwe
na dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani laki
moja huko Macao China ambapo vyombo kadhaa vya Tanzania vimeripoti
kwamba binti huyo anadaiwa kuwa Jackie Cliff ambae amewahi kuonekana
kwenye video kadhaa za wasanii wa Kitanzania.
Kifuatacho ni kilichoandikwa na RayC, mwimbaji wa Kitanzania ambae
katika stori zake kubwa za maisha ni pamoja na kuingia kwenye utumiaji
wa dawa za kulevya uliompoteza kabisa kwenye muziki na ramani ya maisha
mpaka kufilisika.

Kwa
stori zote za bongo na nje ya bongo, siasa, breaking news, muziki,
michezo, movies, vichekesho, maisha na mengine ungana na mtu wako wa
nguvu Millard Ayo na uwe unazipokea taarifa kiganjani mwako mara tu
baada ya kuzipata, ungana na mimi kwenye facebook, twitter na instagram
kwa jina hilohilo la Millard Ayo, ukishajiunga niambie hata kwa
kucomment mtu wangu..
Comments
Post a Comment