Baby Madaha: Nikikosa Kufanya Mapenzi na Mpenzi Wangu Siku Tatu tu Naugua....

STAA wa muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, starehe yake kubwa ni kuwa faragha na laazizi wake kiasi kwamba akipitisha siku tatu huwa anaugua.

Akibonga na paparazi wetu kuhusu maisha yake ya kimapenzi, Madaha alisema kuwa kila mtu kuna kitu anakipenda hivyo yeye ugonjwa wake ni huo wa kukutana faragha na baby wake na kupeana furaha.

“Kusema ukweli miongoni mwa vitu ambavyo vinanifanya nikose amani ni kutokutana na mpenzi wangu faragha kwa zaidi ya siku tatu, huwezi kuamini naugua kabisa,” alisema msanii huyo.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016