Waigizaji Wawili wa Series ya Empire Wafunga Ndoa
Waigizaji na mastaa wa tamthilia ya Empire, Grace Gealey ’31’ na mpenzi
wake wa muda mrefu Trai Byers ’32’ wamefunga ndoa kwenye sherehe
Alhamis hii, Gealey na Byers walichumbiana mwaka jana baad aya kukutana
kwenye show ya Empire.
Mastaa na Wageni 50 tu walialikwa kwenye harusi hiyo kwa mujibu wa mitandao ua udaku nchini marekani.
Mastaa na Wageni 50 tu walialikwa kwenye harusi hiyo kwa mujibu wa mitandao ua udaku nchini marekani.
Comments
Post a Comment