Unamkumbuka Mwimbaji MAD ICE wa Baby Gal? Tazama Hapa Video ya Wimbo Wake Mpya Hapa
Ni miongoni mwa waimbaji waishio nje ya Tanzania na bado wana mashabiki
wengi kwenye nchi ya Tanzania… Mad Ice anayo video nyingine mpya ya
kutuonyesha… ukishamaliza kuitazama sio mbaya ukimuachia na comment
akipita ajue mashabiki wake wameipokeaje.
Comments
Post a Comment