Anayedaiwa Kuwa Mchepuko wa Jay Z Akanusha Kuimbwa na Beyonce Kwenye Lemonade


Tangu hivi karibuni Beyoncé ‘abreak the internet’ kwa mara nyingine tena kwa kuachia album yake mpya, Lemonade, amewafanya watu wengi wamzungumzie huku wimbo ‘Sorry’ ukionekana kusababisha mjadala zaidi. Mwishoni mwa wimbo huo, Bey anasema ‘He better call Becky with the good hair.’

Baada ya mashabiki wa Beyonce kuweka connection kuwa “Becky” anaweza kuwa ni mbunifu wa mavazi, Rachel Roy baada ya kupost picha Instagram yenye maelezo ‘Good hair don’t care’, tetesi zilianza kuenea kuwa ndiye aliyechepuka na Jay Z. Na sasa mke huyo wa zamani wa rafiki yake na Jay Z, Damon Dash amelazimika kutoa maelezo kuhusiana na tetesi hizo.

“I want to put the speculation and rumors to rest,” alisema kwenye maelezo yake kwa tovuti ya People. “My Instagram post was meant to be fun and lighthearted, it was misunderstood as something other than that. There is no validity to the idea that the song references me personally. There is no truth to the rumors.”

Aliongeza kuwa jambo kubwa kwa sasa ambalo yeye na familia yake wanakabiliana nalo ni unyanyasaji mtandaoni.

“Consequently, online haters have targeted me and my daughters in a hurtful and scary manner, including physical threats,” alisema. “As a mother — and I know many mothers would agree — I feel that bullying in any form is harmful and unacceptable. I would hope that the media sees the real issue here — the issue of cyber-bullying — and how it should not be tolerated by anyone.”

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 4 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016