SHILOLE UTAVAAJE KWENYE SHOO YAKO NCHINI OMAN? AMELIJIBU HAPA


shilole

Itakumbukwa Mwezi Oktoba mwaka Jana katika tamasha lake nchini Belgium, Shilole alipanda jukwaani akiwa amevalia nusu uchi, na ilipofika katikati ya shoo alijikuta akibaki Uchi jambo lililofanya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kumfungia kwa mwaka mmoja kwa kile kilichodaiwa ameidhalilisha nchi.

Jumamosi hii msanii Shilole atafanya shoo nchini Omani ambapo anategemewa kusafiri kesho akiwa na timu yake ya watu kumi na anategemewa kukaa huko siku nne. shilole mpenzi wa nuh mziwanda

Licha ya kuwepo kwa  watu wenye dini tofauti nchini Oman lakini Idadi kubwa ni Waislamu ambao kimsingi maadili yao  katika Mavazi yanatokana na Mafundisho ya Dini ya Kiislamu,

Ukilinganisha aina za mavazi ya Mwanadada huyo ni yakujuiachia anapokuwa Jukwaani. Lakini msanii shilole anategemewa kwenda kufanya shoo nchini humo siku ya jumamosi, ameiambia mautunduyabongo.blogspot.com kuwa atahakikisha anavaa mavazi amabayo yataeda sawa na Maadili na seheria za nchi hiyo, shilole

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016