Mwanamuziki Shilole Apata Ubalozi wa Kondom....



Tasnia ya muziki inakuwa TZ na namna ya wasanii wetu kuingiza kipato inapanuka zaidi, kwani kwa sasa makampuni yameweza kuwaamini wasanii kuwa wanaweza wakawa ni njia mojawapo ya kuwatangazia bidhaa zao. Leo ktk pitapita zangu mitandaoni nimekutana na Shilole akiwa na ubalozi wa Kondom. Hii pia inaonyesha kuwa makampuni hayamng'ang'anii msanii mmoja kuwa balozi kama baadhi ya watu walivyokuwa wanasema.
Haya mnaonaje wakuu Shilole na ubalozi wa Kondom si 
ni kama mapacha. 
Mcheki hapa akiifanyia promo kwenye page yake ya Instagram:

Shilolekiuno_Badgirlshishi:Wanasema huu mchezo hautaki hasira ama vepeeeeee! Sasa mwenzangu wakati unajiongeza ongeza na vijizawadi vya hapa na pale, usisahau zawadi muhimu zaidi ni BULL CONDOM kutoka kwa hawa maninja wa @Kileleland. We pita duka lolote la dawa, kwa Jero tu unapata pakti yako moja matata sana. Ila usisahau na kuwa FOLLOW hapa @kileleland. Huwa wana mengi ya kukwambia. @kileleland @kileleland @huumchezohautakihasira" Shilole

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016