Mwendesha Mashtaka Kataja Makosa Yaliyomfanya Siwema Ahukumiwe Miaka Miwili Jela
Baada ya kuwepo kwa headlines nyingi kuhusu Siwema ambaye ni Mama Mtoto
wa msanii wa bongofleva Nay wa Mitego kuhukumiwa miaka miwili jela kwa
kile kilichokuwa kinaripotiwa kuwa ni makosa ya kimtandao, ukweli
umewekwa wazi baada ya kufanya Exclusive Interview na wakili wa serikali
Moris Mtoi, bonyeza play hapa chini kumsikia
Comments
Post a Comment