Nay wa Mitego Aingilia Beef la Sugu na Mr Blue..Amshauri Mr Blue Nae Afute Verse za Sugu Alafu Amshirikishe Yeye.

Ni siku chache zimepita tangu kutoka kwa video ya Freedom ya Sugu, video ambayo ameifanya na Director Hanscana, baada ya kutoka nyimbo hiyo kukatokea utata wa ngoma hiyo ambayo Mr blue akasema ngoma ni yake, sasa leo kupitia 255 ya Clouds FM Nay wa Mitego amefunguka kuhusiana na ngoma hiyo nakutaka kumpa idea Mr Blue.

"Blue angekuwa ni mshikaji wangu ningemshauri na yeye amtoe Sugu alafu kama inawezekana aniweke mimi kwenye chorus halafu tuharibu hali ya hewa tutajuana huko mbele ya safari, halafu kama ni hela ya kuifanyia Video ngoma hii mimi nitalipa hata kwa GodFather au Hanscana‘:-Nay wa Mitego"

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016