Wanawake Kumbukeni na 'IKULU' Zenu Kinyume Chake Mtaachwa Kila Siku...

Kujiremba jirembeni na uzuri kuweni nao. Mashauzi tuleteeni na kutusumbua ongezeni. Saluni msikose na wa natural wasiishe. Vaeni vizuri na mtembee na muongee kwa maringo.Lakini msizisahau ikulu zenu. Wengi wenu huzisahau sana sehemu zao.

Inafikia wakati zinatoa harufu kama kafa panya au umezibua choo. Uzuri wa mwanamke ni huko ndani. Si vinginevyo mabinti nyinyi. Ziosheni ikulu zenu mara kwa mara hasa mnapokwenda haja au kufanya mapenzi. Msiingize chochote huko zaidi ya Abdala kichwawazi. Kinyume chake ni majanga. Na mtaachwa kila siku hadi mbadilike.

Nimewaacha watatu kwa sababu hiyo.Siwezi kukaa na mchafu tena wa sehemu muhimu kwake na kwangu. Afadhali leo nimewaambieni nami nitapata utulivu moyoni mwangu.
Ujumbe huu ni kwa wanawake wote

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 4 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016