Mama Kanumba Akanusha Taarifa Kuwa Huwa Anatokewa na Marehemu Kanumba Ndotoni Usiku
Mama Kanumba Amekanusha Uvumi ulionea kwenye mitandao hasa Instagram kuwa huwa anatokewa na Marehemu Kanumba ndotoni...
Mama Kanumba Amesema Haya:
Mama Kanumba Amesema Haya:
"Mimi sijawahi mwambia mtu kuhusu kumuota Kanumba na wala sijawahi muota wala kunitokea ndotoni, Mimi ni mkristo na nina Amini mtoto wangu alifariki na kristo hivyo hayo mambo mimi sijajui na napenda kusema kuwa sijawahi tokewa na Kanumba huo ni uzushi tu"
Comments
Post a Comment