Posts

Showing posts from May, 2016

Kesi ya Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Zanzibar Kufumaniwa Akifanya Mapenzi na Mtoto Wake Yatupiliwa Nje

Image
Kesi ya Faki Dadi Faki yatupiliwa nje maana binti ni mtu mzima ana miaka 21 though yuko form 6. Na sio mtoto wa kumzaaaa so hakuna incest.Na wala binti hakumshtua mamake ilikuwa Ndo mchezo wao mama mtu aliwafatilia mwenyewe.. Hata ile video ukiangalia utamuona binti anavaa chupi huku anapiga kelele analia... Mtu alie panga na manake Kweli anavua Hadi chupi??? Mimi kilichonistua kuhusu story ya Kuwa binti alisema Kwa mamake ni jinsi alivyo Kuwa analia Kwa mshtuko huku akivaa chupi..So conclusion hapa ni kwamba wooooooote wawili they are to blame because binti ni mzeee mzima.. Wengine 21 Tayari tuna mimba za kina Bhoke, 21 ni mtu na akili zake timamu za kujua asitembeeeee na babake.... Angekuwa 16 tungemtetea Ila Kwa 21 Hapana aiseee....

Picha: Hasheem Thabeet atua Dar kimya kimya

Image
Tangu nimeanza kumsikia, Hasheem Thabeet hajawahi kuwa mtu wa matangazo mengi pale anaporudi nyumbani. Mchezaji huyo wa kikapu aliyefanikiwa kuchezea timu nne zilizopo kwenye ligi ya NBA nchini Marekani, yupo jijini Dar es Salaam kwa Mchezaji huyo aliyeenda hewani, Jumamosi alionekana kwenye viwanja vya Leaders alikoenda kwenye tamasha la Nyama Choma. Akiwa NBA Hasheem alichezea timu nne tofauti zikiwemo Memphis Grizzlies (2009 – 2011), Houston Rockets (2011–2012), Portland Trail Blazers (2012) na Oklahoma City Thunder (2012–2014). Pia amechezea timu zingine za ligi ya chini, D-League Dakota Wizards, Rio Grande Valley Vipers na Grand Rapids Drive. Katika misimu yote tisa aliyowahi kucheza, Hasheem alikuwa na wastani wa pointi 2.2, 2.7 rebounds, na 0.8 blocks kwa kila mchezo. Tafsiri yake ni kuwa mchezaji huyo hakuwa na mafanikio sana kwenye ligi hiyo.

Vanessa Mdee na Shilole Wamaliza Beef yao Jukwaani...Picha Ilivyokuwa Nimekuwekea Hapa

Image
Vanessa na Shilole wakijaribu kuelezea juu ya bifu lao.  Mtangazaji wa kituo cha Clouds FM, Hamisi Mandi ‘B12’, akiwakaribisha Shilole na Vanessa Mdee tayari kwa kufanya shoo hiyo.  Shilole akifanya makamuzi.  Vanessa akikamua jukwaani.  Baadhi ya mashabiki wakifuatilia shoo hiyo. WAREMBO wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao ambalo limekuwa likivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya kukamua kwenye steji moja ndani ya ukumbi wa Bilicanas.      Shilole (kulia)  akipashana jukwaani na Vanessa kabla ya shoo hiyo kuanza.

Alikiba Akanusha Kumuimbia Jokate Wimbo ‘Aje’

Image
Alikiba amesema Aje si wimbo aliomuimbia Jokate wala msichana yeyote bali aliimba kwaajili ya mashabiki wake. “Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya mashabiki wangu, kwanza sijawahi kumuimbia mtu kabisa, sijawahi, so ni kwa ajili ya mashabiki wangu,” Kiba alikiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV. Hata hivyo Kiba alikiri kuwa kumtaja Wema kwenye wimbo huo kimekuwa ni kitu cha surprise kwa mrembo huyo. Aje ni miongoni mwa nyimbo zinazofanya vizuri kwa sasa si tu Tanzania, bali sehemu nyingi za Afrika.

Wema Sepetu Adaiwa Kufulia na Kutembelea Usafiri wa Bajaj..Mwenyewe Afunguka Haya

Image
STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha yake kila kona kwa kuwa yeye ni binadamu kama walivyo wengine na maisha yote anastahili kuishi. “Jamani sijui mijitu mingine ikoje? Bajaj ni usafiri kama usafiri mwingine, sasa cha ajabu nini mimi kuutumia? Mniache na maisha yangu,” alisema Wema.

Siri Nne za Shilole Kupenda ‘Vitoto’

Image
MSANII nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole, baada ya kusemwa kwa muda mrefu, hatimaye amefunguka na kutoa sababu nne za yeye kupenda kutoka na wanaume wanaotajwa kuwa ni wadogo kwake kiumri. Akizungumza na Ijumaa, nyota huyo ambaye pia hufahamika kama Shishi Baby, alisema maneno ya watu juu ya jambo hilo siyo sahihi, kwani historia ya maisha aliyopitia ndiyo inayomfanya aonekane mkubwa, wakati yeye ni binti mdogo aliyezaa mapema. Aidha, mkali huyo wa kibao cha Paka la Baa, alisema yeye hivi sasa ana umri wa miaka 30, ‘size’ kabisa kwa wanaume anaotoka nao kimapenzi, kwani hata hao nao, siyo watoto ‘kihiiivyo’ kama maneno ya watu yanavyosema. Sababu nyingine ni; . 1: KUOGOPA KUZEESHWA “Mimi ni kijana kutembea na wazee siwezi, naweza kujikuta nimezeeshwa bure kitu ambacho sikitaki hata kukisikia, kwani naamini bado nina uhitaji kama kijana. “Angalia wasichana wengi wadogo wanaotoka kimapenzi na wazee hujikuta nao wanak...

Diamond Platnumz Aonyesha Hadharani Bastola Yake

Image
The CEO of Wasafi Records, Diamond Platnumz, has now joined the list of celebrities who are believed to be walking around with guns. Well this comes days after he shared a photo on his gram posing with a gun in what looks like a photo studio. This has left many wondering whether he is a licensed gun holders or he was just posing with it for fun and giggles.

IJUE MBOLEA YA PENZI

Image
Maneno mengi hutokea pale wawili wanapopendana, hisia za mapenzi ni kitu ambacho hakizuiliki penzi litakaloshikilia upendo ipasavyo hunoga na kuwafanya wenza kutosikia wala kuambiwa dhidi ya mapenzi yao. Matendo mbalimbali yanayofanywa na wale wapenzi moja kwa moja huchochea upendo wa moyoni ambao hudumu milele, ndio hapo utasikia keshapewa madawa, mara mke wake kamkalia kila atakachoomba lazima apewe na mengine  mengi ambayo umekumbana nayo au kuyashuhudia kwa watu wengine. Hebu fanya haya tuone kama uhusiano wako utafeli • Kusikiliza na kuwa mshauri mwema kwa mwenzako.  Iwe ni kuhusu familia yake au mipango yake ya baadaye au kimasomo, kikazi na hata kibiashara. Ikumbukwe kuwa mafanikio ya mmoja ni chachu ya maendeleo mazuri  hata mtakapokua katika familia. • Kujishusha panapotokea kutokuelewana (yaani kuwa mwepesi wa kuomba msamaha),majibizano siku zote hayajengi hasa mnapokuwa mna hasira au mm...

UNAMJUA CHRIS BROWN WA TANZANIA?

Image
Hivi ni kweli wasanii wanaoanzia kuimba wakiwa kwenye nyumba za ibada ikiwemo kwaya kanisani na Qasweeda msikitini, wanaweza kufanya makubwa katika muziki wa kidunia? mfano mzuri kwa Tanzania wapo kina Linah Sanga, Alikiba, TID, Alice na Jay Mo. Tapphannock Virginia kule marekani ni sehemu adhimu na ukitaja sehemu hii lazima umtaje Super Star wa RnB na Pop Dance Christopher Maurice Brown almaarufu kama Chriss Brown ama Chriss Brizzy. MFAHAMU CHRISS BROWN Chriss Brown ni moja wa mastaa wakubwa nchini Marekani kama Tanzania inavyojivunia kuwa na Diamond Platnumz  jinsi anavyofanya vizuri. Ameingia ‘label’ na CBE, JIVE na RCA , aliwahi kuimba na Lily Wayne, Busta Rymth, Usher Raymond na Pitbull. Chis Breezy ni moja ya wasanii pendwa  kule marekani na aliwahi kumponda Donald Trump kwa lugha yake ya kibaguzi. HISTORIA Chris Brown amezaliwa  May 5, 1989 na kuanza muziki 2005 na kupata mchongo 2004 kwa ngoma yake ya kwanza “Gimme ...

Video: Birthday Party ya Producer Marco Chali usiku wa May 29 2016…

Image
Usiku wa May 29 2016 Producer kutokea MJ Record Marco Chali amefanya Birthday Party Nyumbani kwake maeneo ya Mikocheni Jijini Dar es salaam , Party ambayo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali kutoka Bongoflevani, Ayo TV  na millardayo.com   ilifika eneo la tukio na nimekurekodia Full video kutoka kwenye Birthday Party ya Marco Chali. ULIMISS HII KAULI MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ, BAADA YA SOUTH AFRICA KUPLAY MUZIKI WA NYUMBANI KWA ASILIMIA 90. ITAZAME HAPA..                                                  

Kiba Apata Mpenzi Mwingine, Asema: Nikimrudia Jokate Nisutwe

Image
Siku chache baada ya kusaini mkataba wa kimataifa na Kampuni ya Sony, Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amedaiwa kufunguka kuwa, kamwe hawezi kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake na akifanya hivyo asutwe mchana kweupe. kiba na jokateeKiba na Jokate. TUJIUNGE NA CHANZO Chanzo makini ambacho kipo karibu na msanii huyo kimeeleza kuwa, staa huyo amegundua alipotea njia kwenye penzi la Jokate hivyo hana sababu ya kurudi nyuma kwani huu ndiyo wakati wake wa kufanya mambo makubwa. “Jamaa tangu asaini mkataba mpya na Sony, hataki kuutia doa. Amesema anataka kutusua kimataifa zaidi hivyo anaona akirudi kwa Jokate ni kama atakuwa amerudi alikotoka kisanii. “Unajua amejifunza mambo mengi kipindi yupo na Jokate, hataki tena kurudi kule kwani kusaini kwake mkataba mkubwa anataka kuendane na maisha yake binafsi,” kilisema chanzo chetu. jokate12Jokate Kidoti ‘Jojo’ CHANZO CHAZIDI KUTIRIRIKA Kama hiyo haitoshi, chanzo hicho kilizidi kutiririka kuwa, mbali n...

Lulu Michael Awapa Makavu Mastaa Wapenda Kiki

Image
STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi wanapenda kiki kuliko kusaka fedha kitu ambacho yeye hakifanyi. Akizungumza na gazeti hili, pasipo kuwataja majina, Lulu alisema anashangazwa na tabia ya mastaa wengi kuwa ‘bize’ kutafuta kiki kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii badala ya kukutana pamoja na kufikiria ni kitu gani wanaweza kufanya ili waendelee kimaisha. “Jamani mimi nashangaa siku hizi huku mjini mastaa wanatafuta kiki sana kuliko kufikiria mbinu ya kusaka hela yaani ni shida kabisa, tubadilike jamani, muda unakwenda,” alisema Lulu.

Mambo Matatu yanayoipa Nguvu Lebo ya Wasafi Kufika Mbali

Image
Hutakiwi kushangaa siku ukisikia lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kuwa ipo juu zaidi ya Mavin Records inayomilikiwa na Don Jazzy, hiyo ni kutokada na mikakati pamoja na jitihada zinazozidi kuwekwa na uongozi wa lebo hiyo. Mpaka sasa lebo ya WCB inawamiliki wasanii wanne akiwemo Diamond, Harmonize, Raymond na Q Boy Msafi huku kukiwa na taarifa za chini chini kuwa tayari Rich Mavoko ameshamwaga wino wa kuwa chini ya lebo hiyo huku bajeti yake ikiwa tayari imeshawekwa pembeni na tayari amesharekodi wimbo pamoja na video iliyofanyika huko Afrika Kusini. Lakini pia nje ya kutafuta vipaji kwenye hili analolifanya Diamond ni biashara kubwa ambayo itafanya akaunti zake za benki kujaa kila siku. Hiki ndicho kitaweza kuipaisha lebo ya WCB kuwa kubwa zaidi. Ukubwa wa jina la Diamond Hili halina ubishi kwa sasa Diamond amekuwa ni miongoni mwa wasanii wenye majina makubwa kwenye tasnia ya muziki kwa Afrika kwa sasa. Hicho ni kitu ambacho kimemfanya kujitengeneze...

Wema aweka wazi kuhusu mimba, alivyojigundua mpaka ilivyoharibika ‘nikaona donge la damu likidondoka’

Image
Mashabiki wa malkia wa filamu, Wema Sepetu pamoja na wadau wa burudani walikuwa bado wanamaswali mengi kuhusu mimba ya Wema Sepetu huku wengine wakihisi labda zilikuwa ni kiki, lakini Jumamosi hii staa huyo amefunguka kinagaubaga kuhusu sakata hilo. Akizungumza na gazeti la Mwanaspoti, Wema alikiri kwamba ni kweli alikuwa ni mjamzito. “Nilikuwa na ujamzito kweli,” alisema Wema. “Mwezi wa 12 mwaka jana, nilikuwa najihisi kuongezeka uzito, hivyo nikaenda kwa daktari kwa lengo la kusafisha kizazi. Nilipofika kwa dokta nilimwambia hata hivyo nimemisi period, akaniambia ya Mungu mengi pengine nime-concive, nilimkatalia katakata.” Wema anaendelea kwamba daktari alimshauri akanunue kipimo cha ujauzito ajipime haja ndogo atakapoamka asubuhi na asile kitu chochote kwa ajili ya zoezi la kusafisha kizazi. “Nilipokuwa narudi nyumbani nilipitia dukani na kununua kipimo hicho na asubuhi nikafanya hivyo, nilishtuka sana, nilikuwa kama nimewehuka nilipoona mistari miw...

Wema Sepetu Akubali Ndoa na Idris, Asema haya Kuhusu Ndoa yao itavyokua

Image
Penzi la Wema na Idriss kwa sasa linazidi kupamba moto, mpaka kupelekea Wema Sepetu kuanza kuwaza kufunga ndoa na Idriss. Wema alifunguka hayo katika video alipoulizwa na shabiki yake ni lini atafunga ndoa na Idriss. Na Wema                                                

Hii Ndio Ngoma Harmonize Kaamua Amwimbie Mpenzi wake Wolper

Image
Penzi la Harmonize na Wolper lnazidi pamba moto hadi imefikia mpaka Harmonize kumtambulisha Wolper kwa mama yake mzazi. Harmonize alimtambulisha Wolper kwa mama yake mzazi akiwa katika show yake huko Mtwara.  Inasemekana kua Harmonize kadata na penzi la Wolper hadi kaamua kumtungia wimbo akielezea jinsi gani anampenda Wolper. Unaweza uskiliza hapa chini na itakua poa sana ukituachia maoni yako kuhusiana na wimbo huu                                             

Ni Sahihi, Polisi Mshika Tochi Kuvaa Kiraia na Kujificha Kichakani?

Image
Kwa mara ya kwanza nimekutana na Askari wengi sana ukitoka Arusha mpaka Bagamoyo kuna Askari kibao wanawakamata watu kwa kupima speed, uku wakiwa wamevaa kiraia, na wanapokuwa wanakupiga Toch wanakuwa wamejificha kichakani. Pili baada ya kukupiga Toch, anakuacha unampta ndo anampigia trafiki aliyevaa sare ya kazi, na kumwambia umepita kwa speed kiasi gani na kumwambia akukamate..  Je watu hawa wapo sahihi kisheria?

Meneja wa Alikiba, Seven Mosha, Afanunua Nini Kitakachokuwepo Kwenye Alikiba TV

Image
Series ya taarifa kubwa za michongo ya kimataifa aliyopata Alikiba mwezi huu imeendelea. Wikiendi iliyomalizika, kampuni ya usimamizi inayofanya kazi naye, Rockstar4000 imetangaza kuingia naye ubia kwa kuanzisha kile kilichopewa jina ‘Alikiba TV.’ Kwa wengi taarifa hiyo iliyoandikwa kwa Kiingereza haijaeleweka vizuri na hivyo nimelazimika kumtafuta meneja wake, Seven Mosha kumuomba atupe ufafanuzi zaidi. “Aikiba amezindua Alikiba TV ambayo ni content kuhusiana na kazi yake – matukio yote around him kikazi itakayokuwa inapatikana kwenye YouTube channel yake na pia itaanza kuoneshwa kwenye vituo mbalimbali tukianza na SoundCity,” Seven ameiambia Bongo5. “Alikiba TV itakuwa chini ya mwavuli wa Rockstar Television,” ameongeza. Kwa mujibu wa tangazo hilo zaidi ya Soundcity ya Nigeria, vituo vingine vya runinga duniani vitakavyoshirikiana naye kwenye mradi huo vitatangazwa. Kwa sasa mashabiki wameombwa kusubcribe kwenye channel yake ya Youtube ili kutopitwa...

Baada ya Kutoboa Pua Sasa Diamond Aweka Meno ya Dhahabu...Mashabiki wake Waduwaa

Image
Diamond Platnumz's Baby Mama, Zari shared a pic of her hubby, Diamond Platnumz to ask for the fans to vote for Diamond on BET 2016 Awards, On his Pic Diamond platnumz seems to make changes on his teeth, not yet known even he has attached 'golden teeth' or not and has made fake nose piercing again as few weeks did. Diamond platnumz is in Dallas for his USA tour, when In Dallas he met with Kenyan Comedian Eric Omondi, See a short Video Diamond shared on his account with his Manager, Babu Tale and Eric Omondi.

AJALI: Mtumbwi waua watano Kigamboni baada ya kuzama usiku wa May 27 2016

Image
Jioni ya May 27 2016 kulitokea ajali ya Mtumbwi uliozama Bahari ya Hindi, watu waliokuwa kwenye mtumbwi huo walikuwa wakivuka kutoka soko kuu Feri kuelekea Kigamboni Dar es salaam. Mtumbwi huo unasadikika kubeba watu zaidi ya 16 ambao baadhi yao wametoka wazima. Siku ya jana Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lilifanikiwa kuwapata watu  nane ambapo mmoja wao alipoteza maisha. kutokana na changamoto ya giza shughuli ya uokoaji iliahirishwa na ikaendelea leo May 28 2016 ambapo miili mingine ilipatikana na kufikia jumla ya miiili ya watu watano. . . . . Chini kwenye video hii fupi ni Mratibu msaidizi wa Jeshi la Zimamoto, Bashir Mazehebi akieleza zoezi la uokoaji lilivyokuwa  ULIIKOSA TAARIFA YA GARI LILILOZAMA DAR ES SALAAM APRIL 20 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI                                 ...

PICHA 10: Basi liendalo haraka limepata ajali leo asubuhi ya May 29 2016

Image
Kwa taarifa iliyoifikia millardayo.com leo asubuhi ya May 29 2016 ni ajali iliyohusisha moja kati ya Mabasi yaendayo haraka na gari ndogo aina ya Vitz New Model  eneo la Magomeni Usalama Jijini Dar es Salaam  baada ya gari hizo kugongana, tunazifuatilia taarifa zaidi na nitakuwekea hapa hapa millardayo.com . . . . . . . . .

Good News kwa muziki wa Afrika Chris Brown kampa dili Wizkid

Image
Najua jina la Chris Brown sio geni masikioni mwa watu wanaopenda muziki, basi leo May 29 2016 huenda ikawa ni good news kwa muziki wa Afrika, baada ya msanii kutoka Marekani Chris Brown kumpost msanii Wizkid kutoka Nigeria . Katika ukurasa wake wa Instagram Chris Brown amempost Wizkid na kuandika maneno machache sana, lakini yanatafsirika kama kumualika mkali huyo wa Nigeria katika tour yake ya One Hell Of Nite Tour kwa mwaka 2016 atakayoifanya bara la Ulaya katika nchi za Uholanzi , Ujerumani na Denmark . Muda mchache baada ya Chris Brown kupost picha ya Wizkid , staa huyo kutokea Nigeria alipost nae picha kama hiyo na kuthibitisha kuwa kuanzia June 5 hadi June 11 2016 atakuwa katika  #OneHellOfANiteTour   pamoja na  Chris Brown . KAMA ULIIKOSA SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA ‘HAPO’ ILIYOFANYWA NA JUX, G NAKO NA QUICK ROCKA            ...

VIDEO: Harmonize alivyompandisha kwenye stage mama yake na kumtambulisha Jackline Wolper

Image
Usiku wa May 27 2016 wakazi wa Mtwara walipata burudani kutoka kwa w na Msanii kutoka Label ya Wasafi, Harmonize  ambaye aliongozana na mpenzi wake Jackline Wolper , Kabla ya kumtambulisha Jackline Wolper kwa wakazi wa Mtwara ambapo ni nyumabi kwao, Harmonize alimpandisha mama yake kwenye stage.                                                                                     

VIDEO: Shilole na Vanessa walipokutana kwenye Stage Club Billicanas

Image
Wiki mbili zilizopita taarifa zilienea kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa bifu bali ni promo ya show yao ya pamoja waliofanya usiku huo club Bilicanas, bonyeza play hapa chini kuitazama….                                         ULIIKOSA HII BAADA YA POST ZA SHILOLE NA VANESSA KUINGIA KWENYE HEADLINES, WENYEWE WALIVYOONGEA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI