PICHA 4: Teknolojia inavyochukua headlines, nyumba kujengwa chini ya mwamba, Swimming pool juu yake
Teknolojia kila siku inazidi kuchukua
headlines, nyumba kujengwa chini ya mwamba!!! halafu bwawa la kuogelea
ndio linakuwa kama paa vile, stori kutoka kutoka CNN kuhusu nyumba hiyo ambayo itakuwa ya kwanza Duniani kujengwa ndani ya mwamba huko Lebanon,imeingia kwenye headlines ambapo ramani yake ilitengenezwa mwaka 2015.
Nyumba hiyo inayosemekana kujengewa
bwawa la kuogelea juu na kuwekea kioo kwa chini kama dari la nyumba hiyo
iliyo ndani ya mwamba, bwawa lake la kuogelea linatajwa kuwa na ukubwa
mara mbili zaidi ya nyumba yenyewe. Lebanon kujivunia na mpango wa nyumba hiyo.
Comments
Post a Comment