Mama Wema Sepetu Kawalaani Wanaomsema Vibaya Wema Sepetu
Baada ya kuenea habari hizo za mimba kutoka wengi waliongea huku wengi wakimsema kwa mabaya. Maneno hayo yalimfikia mama mzazi wa Wema na kuamua kuwafungukia kwa kuwachana na kuwalaani wale wote wanaomsema vibaya mtoto wake.
Hapa chini nimeweka video ambayo mama Wema ameongea mengi na kubwa zaidi amewalaani wote wanaomsema vibaya mtoto wake.
Comments
Post a Comment