Video: Birthday Party ya Producer Marco Chali usiku wa May 29 2016…


Usiku wa May 29 2016 Producer kutokea MJ Record Marco Chali amefanya Birthday Party Nyumbani kwake maeneo ya Mikocheni Jijini Dar es salaam, Party ambayo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali kutoka Bongoflevani, Ayo TV  na millardayo.com ilifika eneo la tukio na nimekurekodia Full video kutoka kwenye Birthday Party ya Marco Chali.

ULIMISS HII KAULI MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ, BAADA YA SOUTH AFRICA KUPLAY MUZIKI WA NYUMBANI KWA ASILIMIA 90. ITAZAME HAPA.. 
                                                

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?