VIDEO: Shilole na Vanessa walipokutana kwenye Stage Club Billicanas
Wiki mbili zilizopita taarifa zilienea kuwa Vanessa Mdee na Shilole
wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa bifu
bali ni promo ya show yao ya pamoja waliofanya usiku huo club Bilicanas,
bonyeza play hapa chini kuitazama….
ULIIKOSA HII BAADA YA POST ZA SHILOLE NA VANESSA KUINGIA KWENYE HEADLINES, WENYEWE WALIVYOONGEA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
Comments
Post a Comment