NI KWELI YOUNG KILLER KULA SAHANI MOJA NA HARMONIZE NA RAYMOND? (Audio)



Picha zimesambaa mitandaoni zikimuonesha Rapper Young Killer Msodoki akiwa Studio za Wasafi na Chibu Dangote Diamond Platnumz a.k.a Simba, watu wamehoji maswali mengi imekuaje?

Maswali yaliyoulizwa ni   Msodoki amesaini mkataba na Wasafi au ndo kutafuta kick? Kama ilivyo Watanzania hawana dogo wakiona ama kusikia jambo bila kufanya uchunguzi huanza kusema watakavyo.

Young Killer hakuwa tayari kusema lolote juu la ishu hiyo kwa madai ni “Suprise” na kuwaacha njia panda mashabiki zake.youngkillermsodokii-1464175097069

Young Killer kwa kujiamini ameonesha jinsi gani amekuwa kiupeo na kiakili kwani amekuwa akijibu maswali kwa utashi kwa kutoa ufafanuzi wa kina ingawa ameonekana kuficha kwa sasa kinachoendelea kati yake na Wasafi, bonyeza hapa chini kumsikiliza.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016