PICHA 10: Basi liendalo haraka limepata ajali leo asubuhi ya May 29 2016
Kwa taarifa iliyoifikia millardayo.com leo asubuhi ya May 29 2016 ni ajali iliyohusisha moja kati ya Mabasi yaendayo haraka na gari ndogo aina ya Vitz New Model eneo la Magomeni Usalama Jijini Dar es Salaam baada ya gari hizo kugongana, tunazifuatilia taarifa zaidi na nitakuwekea hapa hapa millardayo.com
Comments
Post a Comment