Baada ya kumalizika kwa hatua ya mtoano ya michezo ya Kombe la
Shirikisho na Klabu Bingwa barani Afrika, leo May 24 2016 shirikisho la
soka barani Afrika
CAF na ilichezesha droo ya kuzipanga timu hizo zilizosalia katika Makundi mawili ya
A na
B.
Kwa upande wa
Tanzania Yanga ndio inawakilisha
Taifa, nafasi ambayo iliipata baada ya kuitoa
GD Esperanca ya
Angola kwa jumla ya goli 2-1 katika hatua ya 16 bora.
Makundi ya Kombe la shirikisho barani Afrika yaliopangwa leo May 24 2016.
Makundi ya Klabu Bingwa Afrika yaliopangwa leo May 24 2016
Comments
Post a Comment