Kesi ya Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Zanzibar Kufumaniwa Akifanya Mapenzi na Mtoto Wake Yatupiliwa Nje
Kesi ya Faki Dadi Faki yatupiliwa nje maana binti ni mtu mzima ana miaka
21 though yuko form 6. Na sio mtoto wa kumzaaaa so hakuna incest.Na
wala binti hakumshtua mamake ilikuwa Ndo mchezo wao mama mtu
aliwafatilia mwenyewe.. Hata ile video ukiangalia utamuona binti anavaa
chupi huku anapiga kelele analia... Mtu alie panga na manake Kweli
anavua Hadi chupi??? Mimi kilichonistua kuhusu story ya Kuwa binti
alisema Kwa mamake ni jinsi alivyo Kuwa analia Kwa mshtuko huku akivaa
chupi..So conclusion hapa ni kwamba wooooooote wawili they are to blame
because binti ni mzeee mzima.. Wengine 21 Tayari tuna mimba za kina
Bhoke, 21 ni mtu na akili zake timamu za kujua asitembeeeee na
babake.... Angekuwa 16 tungemtetea Ila Kwa 21 Hapana aiseee....
Comments
Post a Comment