(KIONJO) Diamond Ft Neyo: Hakika hii ndio nyimbo
Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia
ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo
ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations
zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa
nyimbo ile shikamoo Diamond.
Comments
Post a Comment