VIDEO: Ndoa nyingine 2016? Prezzo katuonyesha Girlfriend wake mpya aliyemvalisha pete


May 26 Msanii toka 254 Kenya Prezzo amekutana na Ayo TV pamoja na millardayo.com  na ametuonesha Girlfiend wake mpya ambaye hivi karibuni amemvalisha pete ya uchumba na wako katika harakati za kufunga ndoa hivi karibuni.
‘Unajua mimi sitaki kuwa kama wasichana wengine ambao wanaweza kuchumbiwa au kuvalishwa pete na kusubiria ndoa hata miaka mitano, kama kila kitu kitakaa sawa na mungu akijalia mwaka huu hautaisha bila sisi kufunga ndoa’ – Mishele Ola 
Tazama hii video hapa chini uone vyote…
                                              


Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016