BELLE 9 ASIMULIA ALIVYOFANYA KAZI KIWANDA KIMOJA NA MAMA YAKE


Star wa Bongo Star Seach (BSS) 2015 Kayumba Juma aliwahi kuwa mfanyabiashara ndogo ndogo almaarufu kama “machinga”  akiuza mitumba katika Soko  la Mburahati Jijini Dar es Salaam na kukumbana na changamoto kadha wa kadha ikiwemo ya kuzushiwa wizi ndipo alipoamua kuingia kwenye ‘hussle’ ya muziki hadi BSS ilipomtambulisha rasmi.

Vile vile Star wa Bongo Fleva anayefanya vizuri kimataifa Diamond Patnumz amewahi kufanya kazi ya kupigisha simu kwenye vibanda, ameuza mitumba na maji sambamba na kufanya kazi viwandani kwa ujira mdogo wa shilingi 2000 kwa saa 8.

Belle-ubalozi2Sasa tuachane na hao, kwa taarifa tu ni kwamba Belle 9 kabla ya Sumu ya Penzi kubamba amewahi kulipwa ujira mdogo katika kazi alizowahi kufanya nje ya muziki. Leo mtembezi.com inataka umfahamu Belle 9 kabla ya ‘kuhit’ kwenye game ya Bongo Fleva amewahi kupitia ‘hussle’ zipi hadi kutusua?

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016