PAM D AFUNGUKA KUHUSU ANAVYOMCHUKULIA NEY WA MITEGO

IMG-20160517-WA0023

Kwa kawaida hapa Bongo msanii hawezi kumuongelea msanii mwingine mambo mazuri, kikubwa atampondea kwa kumsemea mbovu kwa dhumuni la kumshusha na hii sio kwa wasanii pekee bali hata kwa mashabiki huwa hakuna utamaduni wa kumsifia mtu anapofanya vizuri.

Baada ya Mwanadada Pam D kuandika kuandika ujumbe mzuri unaomuhusu msanii Mwenzie Nay Wa Mitego imepiga stori na msanii wa Bongo Fleva anayefanya vizuri na wimbo wa “popolipopo”  na kufunguka juu ya alichokisema kuwa Ney wa Mitego ni mtu wa tofauti mwenye maarifa ya maisha na utu kuliko watu wanavyomchukulia.

NEY WA MITEGO“Nay ni mtu mwenye utu sio kama baadhi ya watu wanavyomchukulia ana moyo wa kujali na kusaidia wengine, sio mbinafsi kiukweli ni mtu ambaye unaweza kukaa nae siku zote akakupa mawazo ya kukujenga naweza kusema jamii ni bwana maarifa mengi ya maisha” alisema Pam D.

Comments

Popular posts from this blog

Idriss Sultan Una Uhakika Gani Kama Mimba ya Wema Sepetu ni Yako?

Nitajuaje ama Mke au Mume Wangu Anatoka Nje ya Ndoa? Mambo Gani Yanaweza Yakaonyesha?

Hizi Hapa Faida za Kunywa Maziwa Mgando/Mtindi Katika Mwili wa Binadamu