Vanessa Mdee na Shilole Wamaliza Beef yao Jukwaani...Picha Ilivyokuwa Nimekuwekea Hapa
Vanessa na Shilole wakijaribu kuelezea juu ya bifu lao.
Mtangazaji wa kituo cha Clouds FM, Hamisi Mandi ‘B12’, akiwakaribisha Shilole na Vanessa Mdee tayari kwa kufanya shoo hiyo.
Shilole akifanya makamuzi.
Vanessa akikamua jukwaani.
Baadhi ya mashabiki wakifuatilia shoo hiyo.
WAREMBO
wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed
‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao
ambalo limekuwa likivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya kukamua
kwenye steji moja ndani ya ukumbi wa Bilicanas.
Shilole (kulia) akipashana jukwaani na Vanessa kabla ya shoo hiyo kuanza.
Comments
Post a Comment