UNAMJUA CHRIS BROWN WA TANZANIA?



chrisbrown

Hivi ni kweli wasanii wanaoanzia kuimba wakiwa kwenye nyumba za ibada ikiwemo kwaya kanisani na Qasweeda msikitini, wanaweza kufanya makubwa katika muziki wa kidunia? mfano mzuri kwa Tanzania wapo kina Linah Sanga, Alikiba, TID, Alice na Jay Mo.

Tapphannock Virginia kule marekani ni sehemu adhimu na ukitaja sehemu hii lazima umtaje Super Star wa RnB na Pop Dance Christopher Maurice Brown almaarufu kama Chriss Brown ama Chriss Brizzy.

MFAHAMU CHRISS BROWN

Chriss Brown ni moja wa mastaa wakubwa nchini Marekani kama Tanzania inavyojivunia kuwa na Diamond Platnumz  jinsi anavyofanya vizuri. Ameingia ‘label’ na CBE, JIVE na RCA , aliwahi kuimba na Lily Wayne, Busta Rymth, Usher Raymond na Pitbull. Chis Breezy ni moja ya wasanii pendwa  kule marekani na aliwahi kumponda Donald Trump kwa lugha yake ya kibaguzi.

CHRIS BROWNHISTORIA

Chris Brown amezaliwa  May 5, 1989 na kuanza muziki 2005 na kupata mchongo 2004 kwa ngoma yake ya kwanza “Gimme me that” aliyomshirikisha Lily Wayne  na mwaka huo akatao album ya kwanza iliyoshika namba 2 katika chat cha Bilboard 200.

Chis Breezy alipata umaarufu mkubwa kupitia Album yake ya pili iliyotoka 2007 yenye ngoma kama “kiss kiss”, With you” zilizomjengea ‘fun base’ kubwa duniani kote vyema na kuwa kipenzi cha watu huku akiwa na zaidi ya albam 5  moja ikiwa “Exclusive”. 2009 aliingia katika skendo ya kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihana na kufungwa jela miaka 5 huku akitumikia jamii kwa miezi 6.

Hizi hapa ni baadhi ya album zake Graffit, Kiss kiss, F.a.m.e, Fortune na nyingine kali, acha nikuulize kitu kimoja, hivi unakumbuka ile ngoma flani kaliiii aliyoimba na Busta Rymth ya LOOK AT ME NOW? Busta ameflow ki-amazing flan hivi.

Comments

Popular posts from this blog

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 2 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 3 Exam Answers 100% 2016

IT Essentials (ITE v6.0) Chapter 1 Exam Answers 100% 2016