VIDEO: Diamond Platnumz kafunguka kuhusu Mbunge aliyetaka sanamu yake
Msanii kutoka kiwanda cha bongofleva Diamond Platnmuz amekutana na Ayo TV
na kufunguka kuhusiana na Headline za yeye kuchaguliwa kwenye tuzo za
BET pia kuhusiana na kwanini wasanii wa Afrika wanapewa tuzo backstage
katika tuzo hizo.
Kingine kikubwa alichokizungumzia Diamond platnumz
ni kuhusu Mbunge aliyetaka sanamu yake iwepo ikiwa ni njia moja ya
kuthamini mchango wake kwa Taifa, unaweza kuingalia video hii hapa chini
kujua alichokisema Diamond Platnumz.
Comments
Post a Comment