PICHA 10: Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Mbonea Wilson Kabwe
Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la
Dar es salaam, Marehemu Wilson Kabwe ulisafirishwa kwenda Same Mkoani
Kilimanjaro kwa Maziko, May 25 2016 mazishi yalifanyika ambapo shughuli
hiyo ya mazishi ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali
akiwemo Waziri wa nchi ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za mikoa na
Serikali za mitaa ‘ Tamisemi’ George Simbachawene, Mkuu wa Mkoa wa
Kililmanjaro Said Mecky Sadick na msemaji wa CCM, Christopher Ole
Sendeka
Comments
Post a Comment