Lulu Michael Akubali Kua Anavaa Matambala ya Kuongeza Makalio
Giggy Money siku za karibuni amekua akitofautiana na wasanii wengi na kwa sasa kaamua kulinukisha na kuanzisha bifu na Lulu. Giggy amekua akijitamba kua anamzidi maisha mazuri Lulu hasa katika upande wamavazi na kuvaa matambala ili aongeze tako.
Katika kauli moja Giggy alisikika akisema kua Lulu ni bingwa wa kuvaa nguo za matangazo. Baada ya Lulu kutuhumiwa hayo aliamua kufunguka kwa ufupi na kujibu tuhuma hizo.
Comments
Post a Comment