HEKAHEKA: Ajifungia ndani na kujichoma kisu, majirani waelezea kilichopelekea ajiue
September 27 2016 kupitia Hekahek a ya Clouds FM Geah Habib amekutana na hii iliyotokea Tandale jijini Dar es salaam ambapo mwanaume mmoja amejiua kwa kujichoma kisu, majirani waeleza ni baada ya kugundulika kuwa ameathirika na virusi vya UKIMWI, millardayo.com imekurekodia full stori kutoka kwenye Hekaheka ya leo. >>>’Alikuwa anaumwa TB alikuwa anatumia dawa na mimi nilikuwa nimekaa naye majira ya saa 12 akaniagiza vocha, narudi nakuta mlango umefungwa, nikampiugia simu ikwa inaita tu hapokei’:- Mke >>> ‘Tulianza kuchungulia dirishani naona mlango kwa ndani umefungwa, majirani wakachungulia wakaona mtu kalala, ikabidi wanisaidie kuvunja mlango kufungua tukakuta kisu kipo shingoni’;- Mke ‘walivyoenda akapima akaonekana ana virusi akamwambia mkewe kuwa mimi mgonjwa, na leo asubuhi alidondoka ndio akajua hii safari kwa sababu hivi virusi kwanini vimefikia hivi na vimeniamaliza haraka,...