Video: Jibu la Yemi Alade kuhusu ku fake life
‘Mimi sijawahi ku fake life alafu usidanganye vitu ambavyo sio vyako kama muda wako haujafika subiri kuna siku muda wako utafika wa kujionyesha kwa mfano mimi siwezi nikapiga picha kwenye Feralli alafu nikapost ni kasema ni la kwangu wakati sina‘ Yemi Alade
ULIMISS HII COLLABO MOJA ALIYOITAJA YEMI ALADE KUTOKA EAST AFRICA ANAYOTAMANI KUIFANYA ITAZAME HII VIDEO HAPA…
Comments
Post a Comment