VIDEO: Swali la Adam Mchomvu kwa Manfongo ndani ya basi la wasanii
Ni kutoka kwenye basi lililobeba Wasanii wa bongofleva wakiwa safarini kwenye show za FIESTA 2016, tamasha ambalo linafanyika kwenye mikoa mbalimbali Tanzania sasa hivi.
Kwenye
basi la Wasanii utajionea maongezi yao mbalimbali wakizungumzia ishu za
kimaisha, kuuliza maswali, wakicheka pamoja na kuongelea mengine
mengi.
Nimekuwekea video hapa chini Mchomvu alipomuuliza Manfongo kuhusu historia yake na muziki wa singeli haya ndio majibu ya Manfongo.
ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA SHILOLE ALIPOMUULIZA YOUNG KILLER ANATUMIA MKOROGO? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI
Comments
Post a Comment